Elimu ya kukabiliana na Magonjwa ya mlipuko.

Imeelezwa kuwa elimu ya kukabiliana na Magonjwa ya mlipuko ina umuhimu mkubwa katika jamii. Hayo yamebainishwa na Afisa afya kutoka Ofisi ya Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kagera Jackline Saulo wakati akizungumza na watumishi katika kituo cha afya cha Kimeya Wilayani Muleba Mkoani Kagera mara baada ya timu ya  wataalam wa afya kutoka mkoa wa